PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Aisee original products zinatubagua sisi masikini.
Nimenunua Home Theatre ya RCA Model STS8317W ina FM/DVD Player ktk receiver yake, nilikua nimeBurn viDVD na viCD vyangu ili nianze kupata burudani hapa nyumbani. Aisee nimegomewa haitaki burned DVD!, roho inaniuma ile kuuliza naambiwa mpaka DVD/CD original zenye nembo ya DOLBY na ndio nazisikiliza now..
MASIKINI WEEE!.
Hivi CD bado zipo........
Ukiamua kutumia original products basi ukubali accessories na vikorombwezo vyote vinavyohusiana na hizo product original navyo viwe original pia!
Pole sana!
usa due to copywrights issues dvd player zao zina chip programed kukataa copied cds/dvd mchina yeye awezi kwenye zake nunua mchina
Nimefarijika kujua kuwa nina wenzangu katika kadhia hii,japokuwa kwangu muathirika mkuu ni mamie wana na wanawe ndio waliokuwa wananipigia kelele za 'inachagua!"mpaka nikawanunulia dvdplyer mchina na kuiunganisha na home theatre kama amplifier!Aisee original products zinatubagua sisi masikini.
Nimenunua Home Theatre ya RCA Model STS8317W ina FM/DVD Player ktk receiver yake, nilikua nimeBurn viDVD na viCD vyangu ili nianze kupata burudani hapa nyumbani. Aisee nimegomewa haitaki burned DVD!, roho inaniuma ile kuuliza naambiwa mpaka DVD/CD original zenye nembo ya DOLBY na ndio nazisikiliza now..
MASIKINI WEEE!.
Hapo nimekuelewa mkuu, ila sirudishi nitakomaa i was said goodbye mchina.
Oh mama! Ngeli hizi!
Pole sana
Nimefarijika kujua kuwa nina wenzangu katika kadhia hii,japokuwa kwangu muathirika mkuu ni mamie wana na wanawe ndio waliokuwa wananipigia kelele za 'inachagua!"mpaka nikawanunulia dvdplyer mchina na kuiunganisha na home theatre kama amplifier!
Ndio unafanya audio kutoka mchina player unaingiza kwenye home theatre yako na ule wa video unaupeleka mojakwa moja from mchina to tv ,home theatre unaiset kwenye auxiliary function 1 or 2 depending input ya audio yako nii ipi na wala isikusumbue kama 1 hupati sauti basi itakuwa ni 2.Kweli, afu kumbe kuigeuza amplifaya nayo inaweza kusolve..umenipa wazo ngoja namimi nijipange kwa hilo.
Point ya msingi itz meaning, grammer tuliziacha shule.
sio kukwepeka tuu, amerahisisha sana maishaMuchina kwenye hii life yetu ya uswazi sometimes hakwepeki aiseeee
nina muda mrefu sana sijagusa CD, ni flash tu siku hizi.Zipo, ndio tunahifadhia MP3 zetu au!?.