Nimeshapiga kazi hapo ndumbwe.
Kuna barabara zipo mbili,kuna moja ni ya njia ya waendao kwa miguu ambayo ina mawe sana, na nyingine ni ile ya gari ambayo hutokezea maeneo ya parade.
Ni mbaya na haipitiki.
Naunga mkono hoja japo hujaiweka hiyo barabara ili watu waone hali halisi.
N'daambi kupoje sasaiv?
Nilikuwa nakaa mitaa hiyo,pale dispensari.
Duuh.
Maisha yanaenda kasi sana!