QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 699 Jan 29, 2015 #21 appoh said: Mbona diamond alikua anaendesha speed 240 kwenye video yake ya my # one Click to expand... Ile ilikuwa si BUgatti bali ni Ferrari. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
appoh said: Mbona diamond alikua anaendesha speed 240 kwenye video yake ya my # one Click to expand... Ile ilikuwa si BUgatti bali ni Ferrari.
1 1701 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 862 Reaction score 367 Jan 29, 2015 #22 jogi said: Kusema ukweli nimeipenda, nikiikosa hapa duniani hata mbinguni nitaipata, HALELUYAAAA Semeni pamoja nami "amen" Click to expand... jog ya wap hyo mzee wa jog?
jogi said: Kusema ukweli nimeipenda, nikiikosa hapa duniani hata mbinguni nitaipata, HALELUYAAAA Semeni pamoja nami "amen" Click to expand... jog ya wap hyo mzee wa jog?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Jan 29, 2015 #23 Fukara said: napita tu.. Click to expand... ​kweli mkuu ID name yako says it all
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,407 Jan 29, 2015 #24 mabesela said: Anayemiliki hiyo ndo mwanaume sio ooh v8,range rover na vyuma chakavu vingine vya jf Click to expand...
mabesela said: Anayemiliki hiyo ndo mwanaume sio ooh v8,range rover na vyuma chakavu vingine vya jf Click to expand...
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Jan 29, 2015 #25 Escrow inanunua bughati ngapi?
mabesela JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,294 Reaction score 680 Jan 30, 2015 #26 Root said: Sasa mkuu wewe watukana wakati hauna hata kati ya hivyo vyuma chakavu. Je tukuite mwanamke? Click to expand... Waweza niita vyovyote upendavyo ila haiwezi badili hali halisi yangu.
Root said: Sasa mkuu wewe watukana wakati hauna hata kati ya hivyo vyuma chakavu. Je tukuite mwanamke? Click to expand... Waweza niita vyovyote upendavyo ila haiwezi badili hali halisi yangu.