Well said mkuu, hapa tulipo na huku tuendako siko kabisa, ccm wameifanya hii nchi ni kama mali yao, na sisi wananchi tumebaki kuwaangalia tu... Inatubidi tuingie mtaani tuitoe hii serikali madarakani, kwani hii nchi ni yetu sote na si ya ccm. Lkn sisi wananchi tumekuwa kama mazuzu, madudu yote haya yanayotokea tunaishia kulalamikia kwenye keyboards....