Lucky One JF-Expert Member Joined Nov 27, 2013 Posts 663 Reaction score 431 Sep 29, 2014 #1 habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote???? uwanja wenu jamani
habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote???? uwanja wenu jamani
nkyalomkonza JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 1,154 Reaction score 444 Sep 29, 2014 #2 We ni she or he?
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Sep 29, 2014 #3 Niliwahi skia n dalili ya kua kibonge
Rubi. JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 350 Reaction score 131 Sep 29, 2014 #4 Mrs. Dago said: Niliwahi skia n dalili ya kua kibonge Click to expand... Ni kweli hujakosea
Lucky One JF-Expert Member Joined Nov 27, 2013 Posts 663 Reaction score 431 Sep 29, 2014 Thread starter #5 mimi jinsia me ,kwani hii mistari inapatikana kwa jinsia moja tu?eti nkyalomkonza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Sep 29, 2014 #6 Rubi. said: Ni kweli hujakosea Click to expand... Mi siipendag unakuta mtu kavaa kata mikono miraba njenje
Rubi. said: Ni kweli hujakosea Click to expand... Mi siipendag unakuta mtu kavaa kata mikono miraba njenje
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Sep 30, 2014 #7 huwa naipenda sn kwa my wife wangu, nikiichungulia huniamshia hisia za ku do!
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Sep 30, 2014 #8 Ndala ndefu said: huwa naipenda sn kwa my wife wangu, nikiichungulia huniamshia hisia za ku do! Click to expand... Hahaha.....kazi kwelikweli
Ndala ndefu said: huwa naipenda sn kwa my wife wangu, nikiichungulia huniamshia hisia za ku do! Click to expand... Hahaha.....kazi kwelikweli
Rubi. JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 350 Reaction score 131 Sep 30, 2014 #9 Mrs. Dago said: Mi siipendag unakuta mtu kavaa kata mikono miraba njenje Click to expand... Wengine ni matumizi ya cream kali kwa kujichubua anakua kama kaungua.
Mrs. Dago said: Mi siipendag unakuta mtu kavaa kata mikono miraba njenje Click to expand... Wengine ni matumizi ya cream kali kwa kujichubua anakua kama kaungua.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,800 Reaction score 16,823 Sep 30, 2014 #10 nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda mmmh
nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda mmmh
BenMo Senior Member Joined Aug 23, 2014 Posts 160 Reaction score 63 Sep 30, 2014 #11 Imekukera kwa wandani wako nn!?
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,015 Reaction score 6,246 Sep 30, 2014 #12 masai dada said: nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda mmmh Click to expand... Inategemea "ntu na ntu".
masai dada said: nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda mmmh Click to expand... Inategemea "ntu na ntu".
J jorojo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 1,642 Reaction score 12 Sep 30, 2014 #13 si ugonjwa huyo
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Sep 30, 2014 #14 ...weka picha mkuu ili tuwe level moja ya mjadala,wengine hatujaiona...
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,800 Reaction score 16,823 Sep 30, 2014 #15 Sumu said: Inategemea "ntu na ntu". Click to expand... ooojey so wengine hawaioend ooo
bolokwabo Senior Member Joined Sep 23, 2014 Posts 114 Reaction score 43 Sep 30, 2014 #16 Me naielewa kinoma,noma iyo michiliz yan cjui hata nikwann et!
bolokwabo Senior Member Joined Sep 23, 2014 Posts 114 Reaction score 43 Sep 30, 2014 #17 Me naielewa kinoma,noma iyo michiliz yan cjui hata nikwann et!nampenda sn do akiwanayo.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,143 Reaction score 2,547 Sep 30, 2014 #18 masai dada said: nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda mmmh Click to expand... Weka picha, lakini peleka kwenye Jukwaa husika.
masai dada said: nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda mmmh Click to expand... Weka picha, lakini peleka kwenye Jukwaa husika.
Mazoko JF-Expert Member Joined Jul 10, 2009 Posts 674 Reaction score 186 Sep 30, 2014 #19 Gefu said: ...weka picha mkuu ili tuwe level moja ya mjadala,wengine hatujaiona... Click to expand... Hapa nakazia tu kwakuonyesha msisitizo kapicha
Gefu said: ...weka picha mkuu ili tuwe level moja ya mjadala,wengine hatujaiona... Click to expand... Hapa nakazia tu kwakuonyesha msisitizo kapicha
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,800 Reaction score 16,823 Sep 30, 2014 #20 Kyenju said: Weka picha, lakini peleka kwenye Jukwaa husika. Click to expand... nishaioeleka nenda ukaone
Kyenju said: Weka picha, lakini peleka kwenye Jukwaa husika. Click to expand... nishaioeleka nenda ukaone