Hii line ya Airtel vipi?

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
Nikiiweka kwenye simu yangu na zinginezo za marafiki zangu inakuwa katika kiholanzi.Nimejaribu kuweka line za airtel za wenzangu kwenye simu yangu,lugha inakuwa english bila matatizo.Sijui ina tatizo gani line hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…