MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Hamja elewa nini sasa
huwa nangalia picha za ngono incase nimeona kupitia simu ya mtu au web site au kwa rafiki zangu lakini siwezi kuweka picha ya ngono nianglie mie binafsi au na mke wangu maana sioni kinachonifundisha zaidi ya kuniaribu uwezo wanagu na kuona kwamaba sisi hatujui kufanya mapenzi..nakutufanya tufanye upuuzi wanaofanya wao wakati wao wakwo kwenye biashara na kutuchochea tutoke nje ya ndoa.
Mapenzi ya ndoa ni kufundishina na ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi.
Wewe ni mwanandoa au sio mwanandoa?
Je umeshawahi kuangaliaga hizo picha za ngono?
Kama tayari, ni style gani unazipenda?
Kama bado, umejuaje kwaba kuna picha kama hizo?
Mara yako ya mwisho kusikia neno mpumbavu ni lini?
Hivi unajijua wewe ni nani? Kama unajijua hebu jielezee kidogo?
hahhaaahhaaaa,we mchokozi eeh
kwani mpumbavu ana miguu mingapi na kama ni miwili basi hata ww mara ya mwishn kuckia ni lini