Hii kitu tunaitajeee

Mima white cute

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
740
Reaction score
1,305
Hi..
Nimekumbuka kastori Fulani Leo kuna MTU na jirani yake sasa huyo mmoja ana roho mbaya sana siku moja akaambiwa achague kitu kimoja anachokitaka lakini masharti atakapochagua yeye kimoja mwenzie anapewa Mara mbili yakeee looooh!kwa roho mbaya akafikilia akaonaa achaguee kutolewa jicho moja ili mwenzie atolewe yote mawiliii...loooh😀🙂🙂hapa ndio nimeona roho mbaya kweli nuksi.

Hivi hii tunaita ni roho mbaya au niniii..MTU anakusaidia unapokuwa na tatizo kwa moyo mmoja mpaka unamuona ndio rafiki/ndugu siku mW mungu anakujalia unapatachako ana anakasirika ...sasa je alitaka siku zote uwe mtu wa kuomba alitakajee au hii hali tunahiitaje ?

Kisa kiko hivi wakati nasoma nilikuwa na best friend zangu wawili ukinijumlisha na Mimi watatu yahn wale marafiki watatu ambao kila shule hawakosekanagi.basi huyu mmoja wetu alikuwa na tabia ya kununa bila sababu ila anahuruma sana na ukiwa na shida atakusaidia..lakini anachonishangaza hataki upate cha kwako ananunaaa...duuuh jamanii..basi tulivyomaliza shule yeye alitangulia kupata kazi basi akamuunganishia na huyu best yetu mwingine huko k koo sasa cha ajabu mwenzio kaanza kazi anapata pesa anafanya maisha yake yeye ananunaa ataki mazungumzo na mwenzie tena umekuwa MTU wa kumsemea mabaya......hivi MTU wa hivi unamuweka kundi gani?
 
Hata conor hapend kua kama vile alivyo ni hali tu
Huyu uliyomtaja nahisi nimvuta ndumu au mlevi au muhuniiii tu yahni msela mavi...si ndio yule akaunti yake anaponda kila neno humu.....ha ha ha Uzi wawatu ukiandikwa achelewi kucoment..uzi wa kindezi huu...Mimi nilikuwa nashangaa mwisho naishia kucheka tu nikiona comment yake najua keshaponda tu..si ndio huyo mkuu au nimedhanganya mafail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…