Hii kiboko!

Duuh hao wahaya ni nouma, watakuwa wamemfanya kitu mbaya boss wao.
 
Nikajua kwa majirani, kumbe ni TZ! Itabidi polisi waige mfano, wezi wote lazima wabadilishe ratiba ya kuanza kulala mchana...
 
Wabongo bhna wanashangaza angalia sasa hizo namba za simu nani ataweza piga hata akiwaona ndo zile huwa hazipokelewiii haziit sekunde moja unalipa kama sio 500 hakia mama nikiwaona sipigiii cm namba gani hzo za simy
 
Hahaaaa Hui inatisha tangazo la milele hilo au...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…