Hii kiboko!

Duu hawa inaonyesha walisepa na lita elfu 40 wakatelekeza gari tupu.
 
Duh! halafu wa nyumbani hawa. Yaelekea walipiga litre za kutosha.
 
Asee si mchezo, jamaa ameona huko vjjn loli linapopita magazeti, redio, tv yawezekana kimoja, viwili au vyote hawapati ila hapo duu…!!
 
usangu logistics A k A mwakabwanga, wanananyanyasa staff wao balaa
 
ukiona picha yako namna hiyo unaomba ardhi ipasuke uingie nimeshindwa kusoma vizuri wametoa dau la shs ngapi kwa atakayewaona?
 
ukiona picha yako namna hiyo unaomba ardhi ipasuke uingie nimeshindwa kusoma vizuri wametoa dau la shs ngapi kwa atakayewaona?

Alafu ndo unakuta lori hilo linapita mtaani kwenu / au kijijini kwenu. we basi tabu tupu. Kila muda tumbo la kuhara lazima likukamate. au wasemaje mkuu kashesho.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi ukabeba petrol halafu ukaweka tangazo kama hilo kwenye gari yako tena ukasafiri usiku. Hii ni saw na kuuza mayai kwenye baiskeli ukaanzisha ugomvi au kushuka kwenye mtelemko mkali ukiwa na baiskeli ukiwa unategemea breki za mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…