I Isango R I P Joined Jul 23, 2008 Posts 295 Reaction score 450 Jan 20, 2016 #1 Ninajaribu kuhoji kama inafaa kuitishwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kijitoupele kama tume inavyosisitiza lakini naegemea kwenye tamko lao. Je kauli yao ya sasa na ile ya zamani ipi ni ya uwongo?
Ninajaribu kuhoji kama inafaa kuitishwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kijitoupele kama tume inavyosisitiza lakini naegemea kwenye tamko lao. Je kauli yao ya sasa na ile ya zamani ipi ni ya uwongo?
bra easy Senior Member Joined Oct 18, 2015 Posts 162 Reaction score 93 Jan 20, 2016 #2 Tuambie ni kauli ipi ya zamani waloitoa?