Hiyo kampuni ni ya kaburu wa Dubai, imekatazwa kuzitangaza ukawa siku nyingi,so inafanya kampeni ya MAGUFULI TUU,NI AGIZO LA UONGOZI, AFU KUNA JAMAA MMOJA WA EFM NI MGANDA ANAITWA SEBBO AMEFANYA NIANZE KUICHUKIA HIKO KIREDIO, OMARY KATANGA ALIKUWA anasoma vichwa vya habari vya magazeti juzi afu yeye akawa anazomea habari za Lowassa na Ukawa, za Magufuli anafurahi na kusifia, kama amekuja hapa anajibembeleza vibali vya kuishi hapa, namsihi afanye kazi iliyomleta siasa hazimuhusu kabisaaaaa atuachie nchi yetu, sipendi uzandiki na kutotumia weredi kwenye FANI la sivyo usipende kufanya mambo ukidhani Tanzania Umeinunua,ni nchi yetu....
Wewe fanya miburudani yako,mambo serious ya nchi yetu tuachie.