pumba tupu ,,,hiv shule si zimefunguwa au bado ujaenda
jifunze kuandika kwanza mkuu
Apologise lady inaonesha umemuelewa, me cjamuelewa nielekeze kidgo anachomaanisha.
Mimi enzi zangu nilisoma KKK tatu ndio maana nimemuelewa, ilikuwa kila siku lazima kila mtu asome adithi kwenye kitabu cha" TUJIFUNZE KUSOMA" ndio unaruhusiwa kwenda nyumbani na mwalimu babu, nilichoona hapo ni typing error na kufupisha zaidi mawazo yake, sasa nyie mmesoma darasa la kwanza masomo 10 na swimming ndani yake huku mkisindizwa na google si rahisi kuelewa.
fanya kugoogle

Mmmh! acha nika'google, ntarudi..
Sio kwamba hawajaelewa!
Wangekuwa wasomi kweli wangekuwa wameelewa. Tuko aina tofauti humu JF. Kuna watoa hoja,wachangiaji, wakosoaji, wapitaji, wasiolewa na walojaa kejeli/dharau. Kila mmoja lazima atekeleze wajibu wake vilivyo!! NO OFFENCE.
Unajua suala la kujieleza (namna yakuwasilisha mawazo) si kila mtu anaweza kusema akaeleweka moja kwa moja, mim huwa naona ni mambo madogo tu hayo, maana hata mim sijakamilika
Wala hakuna alokamilika isipokuwa Mwenyezi Mungu. Tatizo linatokea pale tunapojiona bora na kuanza kuplay god, hata kusahau dhumuni la mtoa hoja. Badala kuchangia mada tunaanza mambo mengine ya kufedhehesha.
Nway, thanks to JF, nimejifundisha kiswahili.