Hii imetokea Burundi

kwani Ikulu kuna house girl?au Ikulu Presida kapageuza ndo kwake milele na hati ya kiwanja iko kwa jina lake?
 
Ni mhudumu wa ikulu hivyo ni mtumishi wa umma.
 
Lakini sio siri mahousegirl wanafanya kazi sana. Tena hawa wa wakubwa, uwiiii...... kuanzia kufua vitaulo vya mchuzi wa utamu, kutandika vitanda, boxer na bikini za mama na baba, bukta za watoto...uwiiii acheni ampe.
 

Na hii pia imetokea huko huko . . . kama sip Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…