Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Jambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka na mtoto bila kukuaga kwa kuhofia utamkataza,ni hatua gani utachukua ikizingatia unakuwa unammiss sana mwanao na hawana dalili za kurudi?
okJambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka na mtoto bila kukuaga kwa kuhofia utamkataza,ni hatua gani utachukua ikizingatia unakuwa unammiss sana mwanao na hawana dalili za kurudi?
Komredi umenifurahisha, kumbe ulitaka thread iishie wapi?Hahah thread yako imeishia hapo mkuu au unauza simu utarudi...
Mkuu ndo maana kuna mahakama na vyombo vya sheria.....Jambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka na mtoto bila kukuaga kwa kuhofia utamkataza,ni hatua gani utachukua ikizingatia unakuwa unammiss sana mwanao na hawana dalili za kurudi?
Komredi umenifurahisha, kumbe ulitaka thread iishie wapi?
Asirudi kwangu aishie huko huko...Jambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka na mtoto bila kukuaga kwa kuhofia utamkataza,ni hatua gani utachukua ikizingatia unakuwa unammiss sana mwanao na hawana dalili za kurudi?
Yamekutokea lini?
Pole sana
Aw, that's so sweet.Heri ya mwaka mpya 2018, I miss a cup of hot chocolate.
Aw, that's so sweet.
Thank you, and Happy New Year to you as well.
Kasie, 🙂.
You're the BEST
I was just thinking about you too.Thanks. ... you are the best too.....
Missed you. ..