na hili ndilo tatizo la waTanzaniaSasa maelezo yamekuwa mengiiii, kiasi kwamba msomaji anashindwa kujua unataka nini!?
Nilitaka kufafanua lakini nimeghairi baada ya kuona maelezo haya hayatofautiani na niliyoyataka kusema.Japo sijasoma maelezo yako mpaka mwisho ila kufupi ni kuwa
Kinachotakiwa ni referees wawili hadi watatu na sio lazima wawe wametoka miongoni mwa taasisi uliotoka kufanyia kazi muda uliotoka.
Sasa wale fresher's school si hawata pata.
Lengo la referees ni kuweza kuulizwa kama ushahidi tu anakufahamu vipi wewe na utendaji kazi wako.
Unaweza ukaweka work experience umeorodhesha tano lkn ukaweka referees umewachagua wawili kutoka taasisi uliyofanya na mmoja katoka kwenye kampuni ambayo hukuweka kabisa ktk experience uliyoorodhesha.
N.B hakuna sheria wala taratibu iliyosema ni lazima uweke refariii ulipotoka kufanyia kazi mwishoni mwa shirika ulilokuwa.
Ili usiboreke na ni vyema referees uwaweke watatu wawili unaweza ukawaweka hata project coordinator na account uliofanya nao kazi shirika lolote lile na mmoja kutoka shirika lingine.
asante sana mkuuNilitaka kufafanua lakini nimeghairi baada ya kuona maelezo haya hayatofautiani na niliyoyataka kusema.
Kwa kifupi mada imeishia hapa.
Kwa kuongezea tu hapa,endapo sehemu ulipoomba kazi wanahitaji referee wa kutoka kampuni yako ya sasa watakueleza baada ya interview kama wamekukubali na wako serious kukupa kazi kwa hiyo sio jambo la kuumiza kichwa kabla.
Na kitu kingine hakikisha kwenye kampuni ya sasa hata kama unachukiwa na watu wengi au kampuni nzima hakikisha una marafiki japo wawili ambao watakusaidia reference siku ikihitajika kwenye ajira yako mpya.
shukrani sanaJapo sijasoma maelezo yako mpaka mwisho ila kufupi ni kuwa