Nilidhani kulikuwa na vyama 8 vilivyoshiriki kaika uchaguzi wa Igunga kama ni hivyo inakuwaje CCM inaitaja Chadema pekee kila kukicha au ni kukiri kuwa kiliwahenyesha?
vipi Mungu ndiye anayetoa vocha za mbolea na alwanzi za chaguzi sioTumwachie Mungu tu
wana igunga walichagua kwa hiyari... sasa wale zile kura zao kama zinaweza kutoa supuKuipa ccm kura yako ni sawa na kumfungia mwanao chumba kimoja na chui na sio chui tu chui mkali kwahiyo wanaigunga kazi mnayo miaka hii mi4 iliyobaki
kusema kweli haya yanatokea tanzania tu na mungu alipowaumba waisraeli wenye akili na watu serious baadaye akatuumba sisi watanzania wajinga na wasiokuwa na kumbukumbu hata ccm nao ni wa ajabu nawashangaa waliokusanyika kumsiliza dr.kafumu kwani anawahusu nini dr. mzima anakubali kufanya mambo ya ajabu kama hili sijuiIgunga walishapewa pilau yao na pombe saivi ni zamu ya maeneo mengine.
Kaeni mkao wa kula.Watu wote lazima mpate pilau.
CCM YAJENGA NCHI.
kusema kweli haya yanatokea tanzania tu na mungu alipowaumba waisraeli wenye akili na watu serious baadaye akatuumba sisi watanzania wajinga na wasiokuwa na kumbukumbu hata ccm nao ni wa ajabu nawashangaa waliokusanyika kumsiliza dr.kafumu kwani anawahusu nini dr. mzima anakubali kufanya mambo ya ajabu kama hili sijui Igunga walishapewa pilau yao na pombe saivi ni zamu ya maeneo mengine.<br>
Kaeni mkao wa kula.Watu wote lazima mpate pilau.<br>
CCM YAJENGA NCHI.