Habari wakuu..........
Kwa kipindi kirefu kumekua na kampeni za uhamasishaji juu ya upimaji wa afya....
Kama mjuavyo kwasasa kuna hii kampeni iliyozinduliwa na Mh Waziri Mkuu inayo wahamasisha hususan wanaume kwenda kupima VVU kwa hiari......
...........jamani ...jamani.....jamani.....yale matangazo yapigwayo redioni yalikua yananikosesha amani mno......yalinipa mawazo sana...mpaka majirani zangu wakaanza kuni hoji "unamawazo gani mbona wapungua......"
Kikubwa kilichokua kinaniogopesha ni hiki:...
Mwaka mmoja uliopita nikiwa Ofisini kwangu alikuja bint kupata huduma za kiofisi.
Kwa uzuri wake nilipambana hadi tukawa wapenzi........
Siku ya kwanza kuja geto tayari kwa mgegedo ....bint alikasirika sana baada ya kuona Salama Condom...nilizo andaa kwa ajili yke...
.nilimuelimisha na kumlazimisha hakunielewa.....hatimae muda wa yeye kutoka geto ukakaribia
dah.........
.....taama na uchu zikaja juu nikaona isiwe shida nikachapa ......1,2,3[emoji2] [emoji2] kavukavu yaani nyama kwa nyama......yaani akitafunwa anatafnika...jamani madoido uuuwiii ...
,,,,,, nilipigishwa kila style... hata chembe ya haya hana...
,,,,binafsi sijawai kungonoka nkapata mautam kama yale..
Kilichokua kinanistua nipale wazungu wanapo karibia ..kutoka na pressure kuongezeka...hubwatuka maneno haya...,,,
,""ahsante mpenzi wanguJumaaa"""
,,,,Ahsante Frediiii,,,,,,
Yaani anataja majina kama matatu na kuyarudia rudia ....nikahisi hiyo ni listi ya njemba zinazo pata huduma hapo....nkimuuliza anakana....
Baade nipo kitaani akaja jamaa ambae ni dereva ...hua namuonaga akiendesha gari la damu salama....
Katika stori alitusihi sana tutulie kwani hali ni mbaya sana ya maambukzi ...tena akataja ule mtaa anaotoka yule binti kua unamaambukizi mengi sama....
......nkasema ndo basi tena nshaambukizwa ...sikua na furaha tena katika ishu za kimahusiano....
niliogopa sana kwenda kupima.....
,,,,,,Mwezi ulopita tukiwa kwenye kikao cha kifamilia ...wazee waliniasa sana juu ya swala la kuoa....nikakubali..
Baada ya hapo nkakumbuka kwamba kabla ya ndoa ni lazima tutapimwa HIV tena kwa pamoja.... je nikikutwa ninao itakuaje...
Nilipiga moyo konde nkasema lazima niijue afya yangu...
Nilianza kuzunguka kila pembe ya mji kutafta Dispensary yenye mazingra tulivu....nilipata....ilibidi nirudishe usafiri home...kuepuka kuchanganyikiwa nikiambiwa ninao...
,,,,,,,ilikua muda wa saa moja usiku nkaanza safari ya kwenda Dispensary kupima...
***** habari dada " salama karibu"
...ntapata ntapata kipimo hiki..."hapana hiki ni kuanzia saa mbili hasubuh hadi tisa mchana"....ahsante ...nikitoka nje******
Niliamka nikiwa na hofu sana kwakua kila kona hua nasikia yale matangazo....
.....mida ya saambili hasubui niliaga Ofisini na kwenda Dispensary tayari kwa kupima....
.............'..............................................
nilipata huduma bureeee....uzuri majibu yalikua freshi....hofu ilinitoka na sasa npo na amani kabisaa
*******vijana wenzangu msiogope nendeni mkapime mzijue afya zenu******
Sent using
Jamii Forums mobile app