Hii dunia kweli haina haki

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
soma hii[emoji23][emoji116][emoji818]

[emoji1505]the world is not fair
Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi ngapi..,,?
Hapo ndo utatambua kwann kinyesi hakina mwiba ila ukikanyaga lazima uchechemee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji99]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Na ndipo utakapojua kwa nini IDDY AMINI alikuwa mwanamme lakini alikuwa anaitwa DADA!!.[emoji3] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii teknolojia ya upashanaji habari inavyoendelea dada zetu watapata tabu sana.
 
yani uache kusomesha watu wa maana uje usomeshe mchumba? mchuuuuuumbaaaaaaaaa? Mungu hiyo roho kama inataka kunijia ishindweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…