kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,375 Reaction score 16,070 Oct 3, 2019 #41 Eti minamino
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Oct 3, 2019 #42 Inaitwa "Kunya humo humo" kwani kuna nini?
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Oct 4, 2019 #43 Natokea Kanda Maalum said: Siyo Gaucho Ni delima Click to expand... Kumbukumbu zangu zinaniijia kama sio wawili basi watu waliopigwa kanzu na kaka yao Fundi wa mpira kipindi hicho hakuna kama yeye Zinedine zizo...
Natokea Kanda Maalum said: Siyo Gaucho Ni delima Click to expand... Kumbukumbu zangu zinaniijia kama sio wawili basi watu waliopigwa kanzu na kaka yao Fundi wa mpira kipindi hicho hakuna kama yeye Zinedine zizo...
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Oct 4, 2019 #44 kombaME said: Kweli VVD ni beki bora, chenga kama hizi wanapigwa akina Smalling kila siku lakin watu hawana habari, amepigwa VVD ni habari dunia nzima.. Click to expand... Dawa yake Messi huyu, first league in uefa alikiona cha moto...hata hivyo ile tuzo walimbeba tu, Messi alistahili 😀 but I'm so happy na yeye ametwaa tuzo kuliko yule jamaa wanaembeba kila mwaka.
kombaME said: Kweli VVD ni beki bora, chenga kama hizi wanapigwa akina Smalling kila siku lakin watu hawana habari, amepigwa VVD ni habari dunia nzima.. Click to expand... Dawa yake Messi huyu, first league in uefa alikiona cha moto...hata hivyo ile tuzo walimbeba tu, Messi alistahili 😀 but I'm so happy na yeye ametwaa tuzo kuliko yule jamaa wanaembeba kila mwaka.
MUSHEKY JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 2,812 Reaction score 2,767 Oct 7, 2019 #45 Mtafute mwalimu kashasha
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,010 Reaction score 34,389 Oct 8, 2019 #46 Takumi Minamino