mpaka ukatumbukia kwenye mtaro,kha!
never dream of that, switii wako yuko salama kabisa hapa Perth,Australia alikuja kumwona mtoto wa dada yake ambaye namsomesha mimi ,kesho anageuza.Actually i bumped into her downtown Sydney akaniambia anakusalimia,kesho nitampeleka lunch kabla sijam drop airport.Ndio maana alitoweka ghafla naomba wajumbe wasiopungua sita(6) kuisupport kauli ya kongosho ili nifanye maamuzi mazito
never dream of that, switii wako yuko salama kabisa hapa Perth,Australia alikuja kumwona mtoto wa dada yake ambaye namsomesha mimi ,kesho anageuza.Actually i bumped into her downtown Sydney akaniambia anakusalimia,kesho nitampeleka lunch kabla sijam drop airport.
usikonde bana,kesho anageuza!Inaonekana wewe ndiye unae mpagawisha kwa kumpa hayo maofa yote. Nilikuomba unipige tafu wakati mambo yangu yalivyochacha kumbe umeamua kufanya ukweli
Yaani my wife umemficha sydney!
Ndio maana alitoweka ghafla naomba wajumbe wasiopungua sita(6) kuisupport kauli ya kongosho ili nifanye maamuzi mazito
Inaonekana wewe ndiye unae mpagawisha kwa kumpa hayo maofa yote. Nilikuomba unipige tafu wakati mambo yangu yalivyochacha kumbe umeamua kufanya ukweli
Yaani my wife umemficha sydney!
Jamani sweeheart am back kwaajili yako......afu toka lini mambo ya chumbani umeanza kuyatoa sebuleni?......ona sasa Kongosho ameanza kuchonga.....Nilienda kuangalia shamba langu maana nilikuwa kwenye majonzi sweetylady aliamua kuondoka bila kuniaga
nitonye my only one siamini kama haya maneno yametoka kinywani mwako.......plz nambie unatania!Inaonekana wewe ndiye unae mpagawisha kwa kumpa hayo maofa yote. Nilikuomba unipige tafu wakati mambo yangu yalivyochacha kumbe umeamua kufanya ukweli
Yaani my wife umemficha sydney!