Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Anzisha kijiwe cha kuuza juice ya miwa. Tafuta location nzuri piga kazi.Nimekuwa mkulima wa miwa ya kuzalisha sukari katika Bonde la Kilombero kwa miaka kadhaa sasa ila kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita soko limeyumba kupita kiasi. Tatizo kubwa ni mwekezaji(kiwanda Cha sukari) kushindwa kuhimili wingi wa miwa ya wakulima wa nje (autogrowers).
Kwakuwa ni uwekezaji mkubwa na nguvu nyingi nilielekezea huko ilibidi nitafakari njia mbadala ya kuiuza miwa ile (ukizingatia mimi ni ni mkazi wa Dar, so hata usimamizi wa mauzo kule shamba unakuwa mdogo). Mwanzoni mwa mwezi March nikapata wazo la kuileta Dar kuiuza kwa wanaouza juice ya miwa. Nikaanza kufanya upembuzi wa kutafuta soko kwakuwa miwa ile iko tofauti kidogo kulinganisha na miwa iliyozoeleka kukamua juice hapa mjini.
Ilibidi nilete sample ya bidhaa yangu kwa wateja niliowakusudia, walionyesha kuikubali sababu miwa ile ina sukari zaidi ya hii waliyoizoea. Nikatafuta pia mahali pa kuweka mzigo wangu pindi nitakapoianza hiyo biashara. Baada ya kuona kila kitu kimeenda sawa wakati najiandaa kufuata mzigo ndo balaa la Corona likawa limepamba moto then kukawa na mfungo wa Ramadhan so ikabidi nitulie kidogo.
Baada ya hali kutulia na mfungo kuisha nikafanya safari. Kwa kuanzia nilipanga kuanza na angalau tani10, ili kama biashara itaenda vizuri niongeze ukubwa wa mzigo. Nilifanikiwa kukata na kupakia fuso, Jumapili tarehe 21/6 nikaingiza mzigo Dar.
Balaa lilianza kesho yake Jumatatu nilivyoanza ku-suplly mzigo kwa wateja wangu. Biashara haikuwa kama matarajio niliyokuwa nayo. Hadi leo ninandika thread hii mzigo uko zaid ya tani 7. Mbaya zaidi bidhaa hii baada ya siku 10 haifai tena kwa matumizi kwahiyo nikiangalia uchache wa mzigo ninaoupush per day naona kabisa mzigo hautakwisha na nitapata hasara.
Kinachoniumiza kichwa, matumaini yangu kama biashara ingekuwa vizuri hiyo hela ndo ingenisaidia kumsafirisha first born wangu shule this weekend. Kilichonisukuma kuandika uzi huu wakuu, ni imani yangu kwamba jukwaa hili lina aina zote za watu so kwa yeyote anayefahamu maybe mtu mwenye uzalishaji mkubwa wa Cane juice au popote kwenye kiwanda cha kutengeneza ethanol/spirit ili niiuze hii tani 7 kwa pamoja angalau niokoe gharama za msingi nilizoingia especially usafiri, labour charges etc.
Kwa yeyote mwenye kujua ufumbuzi wa hili jambo nahitaj msaada wake
Mwasiliano: 0624406434
Natanguliza shukrani!
Viwanda vitano nchi nzima havina uwezo wa kuhimili miwa ya wakulima nchi nzima kwa sababu viwanda hivi pia vina mashamba yake ya miwa.Mimi ninachoona hapa ni kwamba kuna sera mbovu kwa sababu kama viwanda hivi vina mashamba yake ya miwa je wakulima watauza miwa yao wapi?!
[emoji106][emoji106][emoji106]Pole but first relax.....halafu mwambie Mungu akusaidie ,nimemuona Mungu akifanya mambo ambayo kwangu ilikuwa ni ngumu,lakini hata kwa yale niliyodhani ningeweza kufanya mwenyewe nilishindwa mpaka nilipomuomba Mungu msaada.
Mfano niliwahi kukosa wapangaji miezi3 mfululizo na nyumba ni classic ila nilipoomba wateja walimiminika from no where.
So muamini na mtegemee Mungu hakuna Neno gumu kwake,Siku moja kwa Mungu ni kama miaka 1000,so anaweza kufanya jambo within a second.....hii dunia tu unayoiona aliiumba kwa siku 5 tu siku ya sita ndo akamuumba mwanadamu,kifupi hashindwi na anatuwazia yaliyo mema.
Mkuu pole sana ila ushauri wangu ambao nilishawahi kushuhudia, ni kwamba nunua manual machine ya kukamua miwa 450k uifunge shambani uanze kukamua hiyo miwa kutumia cheap lbr (4) 5000@ kwa siku,Nimekuwa mkulima wa miwa ya kuzalisha sukari katika Bonde la Kilombero kwa miaka kadhaa sasa ila kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita soko limeyumba kupita kiasi. Tatizo kubwa ni mwekezaji(kiwanda Cha sukari) kushindwa kuhimili wingi wa miwa ya wakulima wa nje (autogrowers).
Kwakuwa ni uwekezaji mkubwa na nguvu nyingi nilielekezea huko ilibidi nitafakari njia mbadala ya kuiuza miwa ile (ukizingatia mimi ni ni mkazi wa Dar, so hata usimamizi wa mauzo kule shamba unakuwa mdogo). Mwanzoni mwa mwezi March nikapata wazo la kuileta Dar kuiuza kwa wanaouza juice ya miwa. Nikaanza kufanya upembuzi wa kutafuta soko kwakuwa miwa ile iko tofauti kidogo kulinganisha na miwa iliyozoeleka kukamua juice hapa mjini.
Ilibidi nilete sample ya bidhaa yangu kwa wateja niliowakusudia, walionyesha kuikubali sababu miwa ile ina sukari zaidi ya hii waliyoizoea. Nikatafuta pia mahali pa kuweka mzigo wangu pindi nitakapoianza hiyo biashara. Baada ya kuona kila kitu kimeenda sawa wakati najiandaa kufuata mzigo ndo balaa la Corona likawa limepamba moto then kukawa na mfungo wa Ramadhan so ikabidi nitulie kidogo.
Baada ya hali kutulia na mfungo kuisha nikafanya safari. Kwa kuanzia nilipanga kuanza na angalau tani10, ili kama biashara itaenda vizuri niongeze ukubwa wa mzigo. Nilifanikiwa kukata na kupakia fuso, Jumapili tarehe 21/6 nikaingiza mzigo Dar.
Balaa lilianza kesho yake Jumatatu nilivyoanza ku-suplly mzigo kwa wateja wangu. Biashara haikuwa kama matarajio niliyokuwa nayo. Hadi leo ninandika thread hii mzigo uko zaid ya tani 7. Mbaya zaidi bidhaa hii baada ya siku 10 haifai tena kwa matumizi kwahiyo nikiangalia uchache wa mzigo ninaoupush per day naona kabisa mzigo hautakwisha na nitapata hasara.
Kinachoniumiza kichwa, matumaini yangu kama biashara ingekuwa vizuri hiyo hela ndo ingenisaidia kumsafirisha first born wangu shule this weekend. Kilichonisukuma kuandika uzi huu wakuu, ni imani yangu kwamba jukwaa hili lina aina zote za watu so kwa yeyote anayefahamu maybe mtu mwenye uzalishaji mkubwa wa Cane juice au popote kwenye kiwanda cha kutengeneza ethanol/spirit ili niiuze hii tani 7 kwa pamoja angalau niokoe gharama za msingi nilizoingia especially usafiri, labour charges etc.
Kwa yeyote mwenye kujua ufumbuzi wa hili jambo nahitaj msaada wake
Mwasiliano: 0624406434
Natanguliza shukrani!
Ushahidi uliopo sasa hivi wa viwanda kukataa kununua miwa ya wakulima unaonyesha kuwa miwa inayolimwa na viwanda vya sukari huwa inawatosheleza!miwa inayozalishwa na hayo mashamba ya viwanda bado haitoshelezi na ndo mana wanaingiaga mikataba na wakukima wa nje. huu uhaba wa sukari unaotokeaga ni ishara kubwa kwamba miwa inayozalishwa haitoshelezi.
viwanda vya sukari vnajitoshelezaje angali kuna malalamiko sukari iliyopo haitoshi? kuna sehemu kuna kauongo.Ushahidi uliopo sasa hivi wa viwanda kukataa kununua miwa ya wakulima unaonyesha kuwa miwa inayolimwa na viwanda vya sukari huwa inawatosheleza!
Sukari kutokutosha haitokani tu na ishu ya miwa bali kuna sababu nyingine zinazoweza kusababisha tatizo hilo kama vile uwezo wa viwanda kuzalisha sukari,management mbovu,sera mbovu za serekali juu ya usambazaji wa sukari na kadhalikaviwanda vya sukari vnajitoshelezaje angali kuna malalamiko sukari iliyopo haitoshi? kuna sehemu kuna kauongo.
Naona haukosi sababu chief. anyway point yako imeeleweka na point yangu imeeleweka. Amani.Sukari kutokutosha haitokani tu na ishu ya miwa bali kuna sababu nyingine zinazoweza kusababisha tatizo hilo kama vile uwezo wa viwanda kuzalisha sukari,management mbovu,sera mbovu za serekali juu ya usambazaji wa sukari na kadhalika
Nenda soko la TandaleNimekuwa mkulima wa miwa ya kuzalisha sukari katika Bonde la Kilombero kwa miaka kadhaa sasa ila kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita soko limeyumba kupita kiasi. Tatizo kubwa ni mwekezaji(kiwanda Cha sukari) kushindwa kuhimili wingi wa miwa ya wakulima wa nje (autogrowers).
Kwakuwa ni uwekezaji mkubwa na nguvu nyingi nilielekezea huko ilibidi nitafakari njia mbadala ya kuiuza miwa ile (ukizingatia mimi ni ni mkazi wa Dar, so hata usimamizi wa mauzo kule shamba unakuwa mdogo). Mwanzoni mwa mwezi March nikapata wazo la kuileta Dar kuiuza kwa wanaouza juice ya miwa. Nikaanza kufanya upembuzi wa kutafuta soko kwakuwa miwa ile iko tofauti kidogo kulinganisha na miwa iliyozoeleka kukamua juice hapa mjini.
Ilibidi nilete sample ya bidhaa yangu kwa wateja niliowakusudia, walionyesha kuikubali sababu miwa ile ina sukari zaidi ya hii waliyoizoea. Nikatafuta pia mahali pa kuweka mzigo wangu pindi nitakapoianza hiyo biashara. Baada ya kuona kila kitu kimeenda sawa wakati najiandaa kufuata mzigo ndo balaa la Corona likawa limepamba moto then kukawa na mfungo wa Ramadhan so ikabidi nitulie kidogo.
Baada ya hali kutulia na mfungo kuisha nikafanya safari. Kwa kuanzia nilipanga kuanza na angalau tani10, ili kama biashara itaenda vizuri niongeze ukubwa wa mzigo. Nilifanikiwa kukata na kupakia fuso, Jumapili tarehe 21/6 nikaingiza mzigo Dar.
Balaa lilianza kesho yake Jumatatu nilivyoanza ku-suplly mzigo kwa wateja wangu. Biashara haikuwa kama matarajio niliyokuwa nayo. Hadi leo ninandika thread hii mzigo uko zaid ya tani 7. Mbaya zaidi bidhaa hii baada ya siku 10 haifai tena kwa matumizi kwahiyo nikiangalia uchache wa mzigo ninaoupush per day naona kabisa mzigo hautakwisha na nitapata hasara.
Kinachoniumiza kichwa, matumaini yangu kama biashara ingekuwa vizuri hiyo hela ndo ingenisaidia kumsafirisha first born wangu shule this weekend. Kilichonisukuma kuandika uzi huu wakuu, ni imani yangu kwamba jukwaa hili lina aina zote za watu so kwa yeyote anayefahamu maybe mtu mwenye uzalishaji mkubwa wa Cane juice au popote kwenye kiwanda cha kutengeneza ethanol/spirit ili niiuze hii tani 7 kwa pamoja angalau niokoe gharama za msingi nilizoingia especially usafiri, labour charges etc.
Kwa yeyote mwenye kujua ufumbuzi wa hili jambo nahitaj msaada wake
Mwasiliano: 0624406434
Natanguliza shukrani!
Hata kampuni nayo inaweza kutoa false information kuhusu scarcity ya bidhaa zake ili ipandishe bei makusudi pale wanapotaka wafikie malengo flani financially.Sukari kutokutosha haitokani tu na ishu ya miwa bali kuna sababu nyingine zinazoweza kusababisha tatizo hilo kama vile uwezo wa viwanda kuzalisha sukari,management mbovu,sera mbovu za serekali juu ya usambazaji wa sukari na kadhalika
Hebu boss njoo utueleze hiyo chemical mbona juu juu tu umeelezaMkuu pole sana ila ushauri wangu ambao nilishawahi kushuhudia, ni kwamba nunua manual machine ya kukamua miwa 450k uifunge shambani uanze kukamua hiyo miwa kutumia cheap lbr (4) 5000@ kwa siku,
uwanze kuichemsha kwa kutumia hayo magada ya miwa itaganda baada ntakuelekeza chemical( endiony) 50k moja ili isafishe iwenyeupe arafu uisange kuna manual machine vya kusagia inakua sukali nzuri lakini sio high quality
ununue mifiko ya sukali ya kagera suger au mtibwa uchanganye mufuko moja kwenye mifuko 10 ya kwako kisha pakie upeleke sokoni.....unalipwa keshi hela yako hapo hapo inarudi ndoanze paper work ya small scale industry
hiyo ni kazi nzuri ila fitina nyingi kutoka serikalini na wawekezaji kwa kisingizio cha kiwanda bubu, Tbs TRA nk.. ndani ya mwaka unakua mbali sanaaaa
Mkuu..unaelewa alisema neno tani1!Pole sana mkuu, lakini ungewaza mapema ungeanzisha sehemu kma 3 za kuuza juisi ya miwa ukaweka vijana ungeokoa kitu.