Hii bahati mbaya au upotoshaji tu?

ITAKUWA MADE IN KENYA.........sio bahati mbaya.
 


Sasa kipi cha kushangaza hapo? Kuna tofauti gani na hii picha inayoonyesha mwanamke mzuri tena aliyependekezwa na sisi Waafrika wenyewe ni Mwarabu au aliye karibu na Mwarabu?
Huyo ndiye Mwanamke mzuri Arika ambaye sisi waafrika tumechagua!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…