Msiwatembeze watoto wa watu kwenye jua maana nyie mnaoanza na viingereza mnakuwa na shida sana.Funguka useme ni kazi gani ili watu usiwapotezee muda wao maana kama ni hotel watu wameshafika mpaka kwenye zile hotel za nyota 10 sasa wanachotaka ni kazi tu hata kama ungesema mkutanie kituo cha daladala pale Morocco wangekuja tu