Hiace custom inauzwa

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Toyota Hiace custom inauzwa bei ni Tsh 9m, cc 2200 tu, petrol , sports rims and well maintained, if ur interest just pm me.
 
Toyota Hiace custom inauzwa bei ni Tsh 9m, cc 2200 tu, petrol , sports rims and well maintained, if ur interest just pm me.
Mkuu Osaba, we ni mzoefu kabisa hili jukwaa! Sawa detailed specifications hujatoa lakini sasa hata PICHA?
 
Samahanini sana mtandao unasumbua sana kwenye kuupload picha ukikaa sawa nitaziweka
 
OOh! Nidhani ni Super roof. Nilikuwa nawazia hiyo... Ila hii iko vizuri. Ngoja wateja wengine waje...
 
tubadilishane na nissan xtrail number reg CGN?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…