Hi mnaichukuliaje wakuu

loyda

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
436
Reaction score
128
Habari zenu wana MMU,,
Naamin tupo pamoja!
Leo napenda tujadili kidgo nione mitazamo ya wenzangu

Hili swala lipoje, unakuta watu wameishi kiunyumba miaka kumi wamezaa na watoto labda wa 3 then mwisho wa siku wanaamua kufunga ndoa na kuanza vikao vya harusi, mara kuchangisha michango!

Hii sioni kama ina maana sana kukompleketi hayo maswala kiivyo ikiwa wameshaishi pamoja na kujenga familia labda mseme na ninyi!
Hii imetokea kwa watu wng wa karbu!
Mier
 
Inasaidia na Inaleta maana, kwa sababu unaapa kuishi na mtu ambae tayari umestahimili madhaifu yake nae amestahimili yako pia.
 
na tusaidiane kushangaa... ndo mana michango mingine ya harusi huwa sitoe!!! tunachoshana tu alafu siku hiyo unakuta bibi harusi chozi linamtoka kuanzia kanisani hadi ukumbini mxieeew
 
Inasaidia na Inaleta maana, kwa sababu unaapa kuishi na mtu ambae tayari umestahimili madhaifu yake nae amestahimili yako pia.

sidhani kama umeelewa lengo la mtoa mada.

Back to me , haijakaa poa kabisa.
 
na tusaidiane kushangaa... ndo mana michango mingine ya harusi huwa sitoe!!! tunachoshana tu alafu siku hiyo unakuta bibi harusi chozi linamtoka kuanzia kanisani hadi ukumbini mxieeew


Kinachonishangaza mie hao wanaotuomba michango washapigana sana,tushawasuluhisha sana yani sijui lini ntaelewa hz mambo nafikiria na kutochanga kabsa
 
Inasaidia na Inaleta maana, kwa sababu unaapa kuishi na mtu ambae tayari umestahimili madhaifu yake nae amestahimili yako pia.

Ni bora basi wawe na maelewano na upendo,tungesema ni jambo jema
 
na tusaidiane kushangaa... ndo mana michango mingine ya harusi huwa sitoe!!! tunachoshana tu alafu siku hiyo unakuta bibi harusi chozi linamtoka kuanzia kanisani hadi ukumbini mxieeew

Hahahahha analia kwa furaha jamani, kuvaa shela mchezo lol. Bora hata wakichangisha harusi, ni vizuri kuwapa support coz wameamua kuacha uzinzi. Sasa mwingine washaishi miaka 5 na watoto juu afu bado anataka afanyiwe kitchen party, si bora akatafute tu kungwi amfunde kuliko kuwapa watu tu gharama khaaa
 
Wanaoishi kinyumba wengi wao wanapataga mpaka offer za kufungiwa ndoa makanisani unasikia kwenye mkesha wa pasaka labda watu watafungishwa ndoa wanaojitokeza wachache sana. Wengine wanasema wanataka sherehe hadi honey moon na nguo nyeupe wanavaa.

Michango wanakuwa wakali sana mpaka kero. Wangeamua kufanya mambo yao kimya kimya kama walivyochukuana mwanzo ingekuwa poa zaidi.
 
tena kuna wengine wanafanyiwa na kitchen party...kwikwikwi!
 
Eti Bora wawe na maelewano?????washapigana sana????.....inafaa ubaki kuwashangaa tu wafanye yao sio kuwapembua hivyo kama huna mpango wa kuwapa msaada
 
Uenda walichelewa kufunga ndoa awali kwa sababu za hapa na pale, sasa wameamua Kyushu maisha Mema na hivyo wameamua kubariki ndoa.
 
Watoto wao na wajukuu wanatosha kutoa michango
 
Ikitokea naishi na mwenza miaka hata mitano tu sichangishi mtu. Kwanza nafanya coctail or dinner reception na nitalipia mwenyewe. Natafuta hotel nzuri mathalan per pax ni 60,000 buffet na kinywaji say 40,000 average kwa kuwa wengine watakunywa soda. So watu 50 ni 5m au 100 ni 10m. Tunavaa evening wear yetu na kwenye kuhalalisha suti na gauni safi tu. Ingekuwa naoa upya ningefanya mageuzi sana ktk suala la sherehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…