HGL au ECA

Aya mambo ya HKL sijui LKV sioni impact yake sikuiz.
Tambua tu anataka kuchukia fani gani baada ya A level then angalia masomo yanayo relate kasome full stop
 
Nina hizi marks
Div II pts 20


B/Keeping - C
Commerce - C
Maths - D

History - C
Geography - C
Civics - C
Dunia ya sasa kusoma kwa kubet ni kupoteza muda, Usipende kupanga maisha yako kama unaandaa mkeka. Take ur time, fikiria unapenda nini then fanya maamuzi ambayo utayapigania kufika unakotaka kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…