HGL au ECA

Joined
Dec 14, 2018
Posts
89
Reaction score
166
Nina hizi marks
Div II pts 20


B/Keeping - C
Commerce - C
Maths - D

History - C
Geography - C
Civics - C
 
Nina hizi marks
Div II pts 20


B/Keeping - C
Commerce - C
Maths - D

History - C
Geography - C
Civics - C
Unapenda nini ? Au unataka kua nani baadae baada ya masomo? Maana naona hata EGM unapata, ukimaliza EGM unaenda kusoma Building Economics pale Ardhi
 
Nina hizi marks
Div II pts 20


B/Keeping - C
Commerce - C
Maths - D

History - C
Geography - C
Civics - C
Kwa matokeo haya combination zote zimegoma ECA inataka uwe na C ya Hesabu HGL English uwe walau na C
 
Mkuu kaanze kujifunza elimu ya ujasilia mali nakuahidi hutojuta, huko kwengine ni kujipotezea muda tu.
 
Unapenda nini ? Au unataka kua nani baadae baada ya masomo? Maana naona hata EGM unapata, ukimaliza EGM unaenda kusoma Building Economics pale Ardhi
Building economics inahitaji pass ya physics o'level siku hizi.
 
Hongera kwa hatua hiyo.
Wewe ni me/ ke? English vipi mbona hujaweka? Nitakushauri ukiweka English
Nina hizi marks
Div II pts 20


B/Keeping - C
Commerce - C
Maths - D

History - C
Geography - C
Civics - C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…