Asa kama ashukuru hichohicho cha tuition fee 0 wewe kwanini unalilia kujua allocation wakati una uhakika wa kupata 0 and above?
Au haukuona aliposema tuition fee ni 0?
Ni kawaida kutokupewa tuition fees lkn meals and accommodation unapata.....jichange change kwny boom lako ongezea na pesa ya wazee lipa Ada maisha yanasonga