HESLB wananidai tsh ngapi?

Mil 4 deni. Ushalipa Mil 6. Kama kutokea Mbeya kwenda Dar ndio upo Ilula hivi.
 
Wataalam nisaidieni,nadaiwa bei gani?View attachment 1968773
Unadaiwa shilingi 4,654,575.95

Ambapo, jumla ya mkopo wako ni 10,404,800.00
Pesa ambazo umelipa mpaka sasa 6,265,610.00 inabaki 4,139,190.00 jumlisha na jumla ya gharama za ziada (charges) 970,385.95 inakuwa sawa na 5,109,575.95 halafu toa kiwango kilicholipwa sasa sh. 455,000.00 unabakiwa na deni la sh 4,654,575.95

Mkuu, naomba kuwasilisha.
 
Kwa nn wachanganye watu namna hii..kwa nn wasiweke deni halisi tuu?
 
Nashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…