jaman naomba mnieleweshe vzur ukisha maliza kujaza iyo form unaipeleka chuon uliko chaguliwa zen wenyewe ndo wataituma au ? na mwisho lin wa kujaza fom za kuappel?
Ku appeal kawaida ni kwa kila mtu ambaye hajaridhika na kiwango cha pesa anacholipiwa akilinganisha na uhitaji wake...kwa hata mtu aliye pata 90% ana haki ya ku appeal kama hajaridhika..
Ku appeal kawaida ni kwa kila mtu ambaye hajaridhika na kiwango cha pesa anacholipiwa akilinganisha na uhitaji wake...kwa hata mtu aliye pata 90% ana haki ya ku appeal kama hajaridhika..
Haiwezekan kupunguziwa kiasi ulichokuwa unapata mwanzon kabla ya ku appeal...Mtu yeyote ambaye aliomba mkopo ana haki ya ku appeal labda tu kama huku omba huruhusiwi ku appeal