Abdul Nassir
Member
- Sep 20, 2015
- 79
- 9
Mi nadhani tu heslb itangaze na iweke wazi tu hakuna mkopo marahii mana hadi sasa hakujatolewa majina na trh 31 vyuo vyengine ndio reporting day yao.
Akh semeni tu mumezitumia kwenye kampeni zenu ( CCM), na mlikua ata bajeti maraa hii hamkuweka katika Elimu mumeweka katika kampeni.
Yaani hasira naingia kipindi cha kampeni fulana na makofia buure, dah hata mafuta huku zenj nayo buree mmepoteza hela nyingi kiukweli.
Sijui kama nitasoma chuo mwaka huu.
Kura umpe Magufuli lawama upeleke HESLEB!!!!??

HESLEB ndo nini?
Nauliza vipi bodi ya mikopo bado haijatoa majina ya waliopata mikopo? na pia nikitaka kujua kama nimechaguliwa kupata mkopo nifanyeje.
mwaka huu ni shida sana hasa kwa watu wanaoishi vijijini huko wanakokosa hata huduma ya internet.
omba EL apite ili usome bure
EL atapitaje na miwatu ishatuponza na mapombe yao
Kweli ina mzaa na pexa...Ha ha haaaa!!!bodi ina mzaa! nadhani uchaguz umemalza pexa!
bodi ina mzaa! nadhani uchaguz umemalza pexa!