M mkereketwa100 Member Joined Sep 18, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Sep 18, 2013 #21 Hesabu zinawasumbua,hyo milioni na laki nane ni kwa mwaka,na mwaka ni semestre 2,so kwa smsta ni laki 9,smsta ni siku 120,900000/120=7500
Hesabu zinawasumbua,hyo milioni na laki nane ni kwa mwaka,na mwaka ni semestre 2,so kwa smsta ni laki 9,smsta ni siku 120,900000/120=7500
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Sep 19, 2013 #22 mkereketwa100 said: Hesabu zinawasumbua,hyo milioni na laki nane ni kwa mwaka,na mwaka ni semestre 2,so kwa smsta ni laki 9,smsta ni siku 120,900000/120=7500 Click to expand... Wewe umevurugwa kweli
mkereketwa100 said: Hesabu zinawasumbua,hyo milioni na laki nane ni kwa mwaka,na mwaka ni semestre 2,so kwa smsta ni laki 9,smsta ni siku 120,900000/120=7500 Click to expand... Wewe umevurugwa kweli
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Sep 19, 2013 #23 mkereketwa100 kabla hujadandia mambo ni vema kuchunguza kwa undani wake ndugu,usitoe watu akili kwa kitu usichokijua Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mkereketwa100 kabla hujadandia mambo ni vema kuchunguza kwa undani wake ndugu,usitoe watu akili kwa kitu usichokijua
BEDO NYALUTOGO JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,328 Reaction score 194 Sep 19, 2013 #24 xir jyerphy said: Hiki ni kiebrania ama kirundi..???::::joke:::: Click to expand... kingereza mkuu tatizo nn? Teh teh
xir jyerphy said: Hiki ni kiebrania ama kirundi..???::::joke:::: Click to expand... kingereza mkuu tatizo nn? Teh teh
jimmymziray JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 816 Reaction score 515 Sep 19, 2013 #25 Mbrazili said: mkereketwa100 kabla hujadandia mambo ni vema kuchunguza kwa undani wake ndugu,usitoe watu akili kwa kitu usichokijua Click to expand... Bodi hutoa boom kila miezi miwili,na huwa vyuo vinatoa makadirio ya semestre moja ambayo ni cku 120 so bodi wanaingiza boom kila aemetre mara 2, Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mbrazili said: mkereketwa100 kabla hujadandia mambo ni vema kuchunguza kwa undani wake ndugu,usitoe watu akili kwa kitu usichokijua Click to expand... Bodi hutoa boom kila miezi miwili,na huwa vyuo vinatoa makadirio ya semestre moja ambayo ni cku 120 so bodi wanaingiza boom kila aemetre mara 2,