K KULIMGA Member Joined Oct 20, 2018 Posts 6 Reaction score 1 Nov 24, 2018 #1 Nilikopeshwa na HESLB. Wamekata pesa na ziada. Kurudisha wanasuasua. Wakopaji wanalipishwa penalty na value retention fee.Kwanini hiyo penalty na value retention fee isilipishwe na kwao kwa kukata fedha zaidi ya mkopo wa muombaji???
Nilikopeshwa na HESLB. Wamekata pesa na ziada. Kurudisha wanasuasua. Wakopaji wanalipishwa penalty na value retention fee.Kwanini hiyo penalty na value retention fee isilipishwe na kwao kwa kukata fedha zaidi ya mkopo wa muombaji???
kibhojela JF-Expert Member Joined Mar 7, 2018 Posts 1,003 Reaction score 1,097 Nov 24, 2018 #2 Hao bodi nini nimewazilia mshahara wangu waukate hadi wafurahi wenyewe!
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,827 Nov 24, 2018 #3 Sisi tuliomaliza miaka kenda iliyopita. Sijui tutaanza kulipa lini ?
K KULIMGA Member Joined Oct 20, 2018 Posts 6 Reaction score 1 Nov 26, 2018 Thread starter #4 Ndugu subiri Kiama.Utapigwa penalty Kubwa then Kuna value retention fee.