Wanajamvi,
Hawa jamaaa baada ya kukata watu asilimia 15% wamekaaaa kimyaaaa hahahaha wanafukiri ndo wemefukia mashimo wa hela walizokula kama wanafunzi hewa.
Ukweli uko pale pale watu kibao wamesomeshwa na bodi na still hawalipi na kwa 15% inasaidia deni kuisha nataka zaidi na rate ya kuajiria kwa wanaimaliza pia ni ndogo mno si kumbuki kuko pale pale no way.