HESLB loan application

Joined
Mar 15, 2013
Posts
24
Reaction score
9
Kwa vijana wanaohitaji kuapply mikopo mfumo ulishafunguliwa na Bodi ya mikopo. Kama unashindwa kuapply kwenye mtandao tunaweza kuwasiliana ili kusaidiana katika kutuma maombi online.Ukipata changamoto nishtue kwa NAMBA 0620191802 pia kwa whatsap.Kazi kwako NA Huduma ya internet muda wote na saa yoyote.
 
okey. je wakati wa kufanya application je vyeti vya kuzaliwa tuna hakiki wapi?
 
Guidelines and Criteria for Issuance of Loans for 2018/2019 Academic Year.’
 

Attachments

Utaratibu umetolewa,kama uko KARIBU NA wilaya ulikozaliwa VYETI vipeleke ofisi za wakuu wa wilaya vitahakikiwa na wshusika wa vizazi NA vifo ila kama uko mbali au uko DSM jisajili kwenye mtandao wa RITA.Utaapload cheti hicho NA pay in slip ya sh.3000 ambayo italipiwa ktk bank ya NMB.KUWENI SHARP NA MTANDAO VINGINEVYO MUDA utaisha bado mpo kwenye delaying tu.
 
Hv wenye vyeti viwili vya f4 2najisajili vp msaada tafadhal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…