Siku Nyingine Uwe makini unapotaka kuandika Kabla ya Ku post, Wewe kama ni Mwanachuo tena Chuo kikuu kuandika "continous students" ni aibu. ulitakiwa Kuandika "Continuing Students"
By The way Tukija kwenye Mada,yaani hujaeleweka Unamanisha nini unaposema Heslb wamefikia wapi,sasa wamefikia wapi kuhusu nini? Elezea tujue ndo usaidiwe.