Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Nov 12, 2015 #1 Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imesema itatoa batch #3 kesho tar13 kwa wanafunzi takribani elfu9 wa mwaka wa kwanza 2015/2016 wenye sifa waliobakia.. kwa wale wanaosubr kaeni mkao wa kula #kaliro_x Source: Nipashe
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imesema itatoa batch #3 kesho tar13 kwa wanafunzi takribani elfu9 wa mwaka wa kwanza 2015/2016 wenye sifa waliobakia.. kwa wale wanaosubr kaeni mkao wa kula #kaliro_x Source: Nipashe
Bratherkaka Senior Member Joined Apr 30, 2012 Posts 101 Reaction score 10 Nov 12, 2015 #2 Tunashukuru mungu@#
S Shomary Rajabu New Member Joined Sep 21, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Nov 12, 2015 #4 philipo.co said: Daaah watoe bhanaa Bora watoe maana Click to expand...
Joblee JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 1,470 Reaction score 1,596 Nov 12, 2015 #5 Waiting....
M Mr.creative JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 492 Reaction score 117 Nov 12, 2015 #6 kwa hiyo ni first year tu ndo wanastahili au umeripoti tofauti labda hiyo habari?
majonzimakali Member Joined Nov 9, 2015 Posts 47 Reaction score 33 Nov 12, 2015 #7 Daaah na iwe kwel,,,wengne tushakata hadi tamaa zakusoma..
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,909 Reaction score 18,551 Nov 12, 2015 #8 Ukipata mkopo wa bodi hata kama ni 0% mshukuru sana Mungu, maana hiyo INA maana utapata Meals and accommodation yote! kama ilivyo!
Ukipata mkopo wa bodi hata kama ni 0% mshukuru sana Mungu, maana hiyo INA maana utapata Meals and accommodation yote! kama ilivyo!
MsamiKowalski JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 285 Reaction score 56 Nov 12, 2015 #9 daah continous students lao limekaaje???
kunta93 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 770 Reaction score 1,657 Nov 12, 2015 #10 VP kuhusu continuous students
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Nov 13, 2015 Thread starter #11 MsamiKowalski said: daah continous students lao limekaaje??? Click to expand... Nyie ulizeni wahuaika vyuon kwenu majina yanapelekwa huko kwa continuous
MsamiKowalski said: daah continous students lao limekaaje??? Click to expand... Nyie ulizeni wahuaika vyuon kwenu majina yanapelekwa huko kwa continuous
T Tyr Member Joined Nov 5, 2015 Posts 37 Reaction score 0 Nov 13, 2015 #13 Mikopo Tayari Niangalizien S.2983/0013/2014 Na S2971/0013/2014
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Nov 13, 2015 Thread starter #14 Tyr said: Mikopo Tayari Niangalizien S.2983/0013/2014 Na S2971/0013/2014 Click to expand... hyo apo mkuu Attachments Screenshot_2015-11-13-10-02-47.png 5.5 KB · Views: 85
Tyr said: Mikopo Tayari Niangalizien S.2983/0013/2014 Na S2971/0013/2014 Click to expand... hyo apo mkuu
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Nov 13, 2015 Thread starter #15 Hyo nyngn Attachments Screenshot_2015-11-13-10-10-03.png 5.5 KB · Views: 75