N Nipe Kavu Senior Member Joined Oct 27, 2018 Posts 115 Reaction score 181 Nov 7, 2018 #1 Habari zenu wana jf,hiv kuna awamu ya Tatu kutoka heslb?kama ipo, mwenye ufahamu atwambie inatoka lini maana hali ni tete na Leo bwana mpango kasema uchumi umeshuka Asanteni
Habari zenu wana jf,hiv kuna awamu ya Tatu kutoka heslb?kama ipo, mwenye ufahamu atwambie inatoka lini maana hali ni tete na Leo bwana mpango kasema uchumi umeshuka Asanteni
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,858 Nov 7, 2018 #3 Fulangenge said: Hakuna Click to expand... duuuu
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,428 Reaction score 4,774 Nov 7, 2018 #4 itatoka tu haifiki december
Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 7,924 Reaction score 7,392 Nov 7, 2018 #5 Soon lakini kwataarifa nilizonazo hakuna atakayepata above 50%
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,104 Reaction score 3,952 Nov 7, 2018 #6 Vuta Subra Ukikosa Ya Tatu Subiri Hadi Ya Nane Mwisho Wa Kutoa Awamu Zote Ni Tarehe 12 Ambapo Dirisha La Rufaa Litafunguliwa
Vuta Subra Ukikosa Ya Tatu Subiri Hadi Ya Nane Mwisho Wa Kutoa Awamu Zote Ni Tarehe 12 Ambapo Dirisha La Rufaa Litafunguliwa
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,858 Nov 7, 2018 #7 mwez upi hyo tar12 TIASSA said: Vuta Subra Ukikosa Ya Tatu Subiri Hadi Ya Nane Mwisho Wa Kutoa Awamu Zote Ni Tarehe 12 Ambapo Dirisha La Rufaa Litafunguliwa Click to expand...
mwez upi hyo tar12 TIASSA said: Vuta Subra Ukikosa Ya Tatu Subiri Hadi Ya Nane Mwisho Wa Kutoa Awamu Zote Ni Tarehe 12 Ambapo Dirisha La Rufaa Litafunguliwa Click to expand...
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,104 Reaction score 3,952 Nov 7, 2018 #8 f de solver said: mwez upi hyo tar12 Click to expand... Mwezi huu november
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,143 Reaction score 3,226 Nov 8, 2018 #9 ...Naisi Ni Leo Watatuonea Macho Ata Boom Tupu Jamani Mtusaidie
RUSSESABAGINA Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 167 Reaction score 239 Nov 8, 2018 #10 Wametoa lin? kunta93 said: Majina yameshatoka mbona Click to expand...
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,143 Reaction score 3,226 Nov 8, 2018 #12 Weken Basi Tuyaone Nasi Tujue Kama Tuendelee Kulima Vitunguu Au Tukope Nauli Twende Nasi Tukashangae Shangae
Weken Basi Tuyaone Nasi Tujue Kama Tuendelee Kulima Vitunguu Au Tukope Nauli Twende Nasi Tukashangae Shangae
bone 2 shine Member Joined Oct 5, 2018 Posts 87 Reaction score 31 Nov 9, 2018 #13 Huu ungese cku imeisha na majina hawajatoa
E Evance Tesha 7917 New Member Joined Oct 27, 2018 Posts 1 Reaction score 0 Nov 9, 2018 #14 Hyo awam ya 3 bado tareh 3 Nov huko heslb haijafika. Ikifika watasema kama haitafika pia 2taona
kunta93 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 770 Reaction score 1,657 Nov 9, 2018 #15 Batch 3 ishatoka ila majina yametumwa moja kwa moja vyuoni,fatilieni kwenye vyuo vyenu kama uko mbali mwambie MTU akuchekie
Batch 3 ishatoka ila majina yametumwa moja kwa moja vyuoni,fatilieni kwenye vyuo vyenu kama uko mbali mwambie MTU akuchekie
I isdor rashid Member Joined Oct 31, 2018 Posts 12 Reaction score 0 Nov 9, 2018 #16 Apo duce mambo tyr
Cainan JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 477 Reaction score 572 Nov 9, 2018 #17 kunta93 said: Batch 3 ishatoka ila majina yametumwa moja kwa moja vyuoni,fatilieni kwenye vyuo vyenu kama uko mbali mwambie MTU akuchekie Click to expand... kunta93 said: Batch 3 ishatoka ila majina yametumwa moja kwa moja vyuoni,fatilieni kwenye vyuo vyenu kama uko mbali mwambie MTU akuchekie Click to expand... Duuh mbona hakuna kitu
kunta93 said: Batch 3 ishatoka ila majina yametumwa moja kwa moja vyuoni,fatilieni kwenye vyuo vyenu kama uko mbali mwambie MTU akuchekie Click to expand... kunta93 said: Batch 3 ishatoka ila majina yametumwa moja kwa moja vyuoni,fatilieni kwenye vyuo vyenu kama uko mbali mwambie MTU akuchekie Click to expand... Duuh mbona hakuna kitu
mimi43 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 410 Reaction score 423 Nov 9, 2018 #18 sua wametoa awamu ya 3 so endeleeni kusubiri kwa kumuomba Mungu
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,374 Reaction score 848 Nov 9, 2018 #20 Majina ya batch 3 hayo hapoView attachment Batch3_2018.pdf