Natumia nafasi hii kukutumia salamu popote pale ulipo. sisi huku chit chat hatujambo. Dhumuni la waraka huu ni kutaka kujua kama mashindano ya miss chit chat umeyastopisha au umeyafuta. Sababu naona yamekua kama mashindano ya mfalme wa hiphop bongo. Nani kakuudhi hadi ukakaa kimya kiasi hiki?. Unasalimiwa na Kipipi. Nategemea majibu kutoka kwako.Asante.Mia