Ili iweje? Ukisikia shobo ndio hizo. Sio ajabu wewe ni miongoni mwa watanzania wakiona Mayele kapost lazima mwende ku comment. Kila mmoja aishi maisha yake, Mayele ni mtafutaji mwacheni atafute anapoona yeye akiona yamemshinda atajua yeye mwenyewe atatue vipi changamoto zake. Shobo sio nzuri