Nape,,leo ndiyo unajua kutupa heri ya x-mass baada ya jana kutema pumba kwa marando,,
we tulia tu ujilie huto tuposho ndani ya hii miaka 2 iliyobaki kabla ya kukabidhi nchi hapo 2015
KUMBUKA BADO X-MASS MBILI TU,X-MASS YA TATU JIANDAE KUKARIBISHWA NA BABU IKULU
UNYWE ANGALAU HATA CHAI.