Heri ya Sikukuu ya Sabasaba

Hii sikuku enzi zetu iliheshimika sana sawa na sikukuu za kidini. Misosi ilipikwa na kuliwa, viwanja maalumu vilitengwa maalumu kwa kusherekea sikukuu hii, huko viwanjani sherehe zilifanyika na kuhutubiwa na viongozi wa chama na serikali
 
Saba saba ilikuwa zamani syo sahivi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…