Heri ya pasaka....... Wanajamii forum!

nosocomial

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
404
Reaction score
45
Wakristo leo tunaungana na wenzetu duniani kote kukumhuka mateso aliyopitia bwana Yesu kristo pale msalabani, kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu.
Tukiwa na roho ya upole ila yenye ujasiri wa kweli tuelekee katika sikukuu hii kwa furaha kubwa pasipo uvunjifu wa amani kwani yesu hakutuachia roho ya ukatili bali tujaliane heri na kusaidiana mizigo.
Tukumbuke ya kuwa duniani tunapita lakini hatuko wenyewe hivyo kumbuka hasara utakayopata kama mtu binafsi haina impact kubwa sana kwako bali kwa wale wanaokutegemea kesho uwatunze na kuwaonyesha njia.
Amani ya bwana itutangulie, roho mungu atuangazie huko tupitapo.

AMEEEN
 
amen nawe pia .
usile kitoweo Leo ijumaa kuu
 
Ahsante Yesu kwa kufa msalabani kwa ajili yetu,ili sisi tukombolewe.
 

Nawe pia
 



Aminaa
 
amina, na kwako pia mpendwa katika Kristo Yesu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…