Heri ya Lukuvi Kuliko Pinda


Lakini ukweli HERI FISADI LOWASSA kuliko MTOTO WA MKULIMA PINDA! Lowasa alikuwa akifanya ziara sehemu wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya wazembe walikuwa tumbo joto. Kama angeendelea utendaji wa viongozi wengi wa kimazoea mazoea ungekwisha. Tatizo lake lilikuwa "kusaka mahela" fasta fasta. Siyo huyu Pinda amekuwa mpole mno inatia aibu mpaka analia....aaaah noma!

Nchi hii sasa hivi inataka akina-Sokoine au Mrema. Kwa hivi sasa mtu aliyekuwa anafaa sana kuwa MP ni MAGUFULI, sema wanambania tu.
 
dah kuna mtu hapo juu kamtaka Edward wa ukweli yaani Sokoine.
Huyu jamaa itapita mamia ya miaka na CCM hawatapata mtu safi kama huyu.

Alitaja mali na akaorodhesha mpk safari buti zake pea mbili.
Je ni kiongozi gani mwenye ushujaa huu kwa miala 20 tu iliyopita?

Hiyu ndie waziri mkuu wa ukweli...sio huyo wenu mkimjambisha tu analia huku analamba kamasi
 
hii ya juzi ya kukataa na kuligawa kwa mwingine kana kwamba huyo mwingine atakuwa analilisha uji...amezid kunikera sana.....

Ni kweli mkuu anatia hasira sana, yaani yeye anataka sisi wananchi tuichukie serikali halafu yeye aonekane bora au tumuonee huruma wakati yumo serikalini na ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali.
Kwanza PM anatugombanisha na serikali ili wananchi wakasirike, na wakikasirika sijui kama na yeye atapona. Kwa kifupi ni kiongozi dhaifu mno..
 

Umesema kweli Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…