bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 757
- 1,020
Jaman jana nilkuwa na apointment na she fulani. muda tarajiwa ulpofika nikawanashangaa mtu hajibu sms wala hapokei simu. unajua niliudhika ila mwisho wa siku nikamshukuru mungu kwa kuniepusha na majanga! pia hata uchumi wangu hauja yumba mpaka hela ya bando bando ninayo! sema angekuja ningempa mavi2zi mpaka bac!!!!!!
Unapimaje uchumi wako na kutokosa pesa ya bando asee
Naona unajipa mahopeJaman jana nilkuwa na apointment na she fulani. muda tarajiwa ulpofika nikawanashangaa mtu hajibu sms wala hapokei simu. unajua niliudhika ila mwisho wa siku nikamshukuru mungu kwa kuniepusha na majanga! pia hata uchumi wangu hauja yumba mpaka hela ya bando bando ninayo! sema angekuja ningempa mavi2zi mpaka bac!!!!!!
Jaman jana nilkuwa na apointment na she fulani. muda tarajiwa ulpofika nikawanashangaa mtu hajibu sms wala hapokei simu. unajua niliudhika ila mwisho wa siku nikamshukuru mungu kwa kuniepusha na majanga! pia hata uchumi wangu hauja yumba mpaka hela ya bando bando ninayo! sema angekuja ningempa mavi2zi mpaka bac!!!!!!
Ngoja nizeeke kwanza ntakupata tu mpenz!Aisee ndio maana nadate na wazee no miyeyushooo
ahsante!Pole kwa kulala na ugwadu wako.
utajiri wangu ni sawa na utajir wa wanaJf wote na ushee!Hapa ametupnyesha uhalisia wa maisha yake
Vumbi la congo unameza Au unapaka?! Kijana angalia usije ukala sumu Kisa nyapumimi kuna demu mmoja nilimseti aje sehemu tupige show matoke yake hakuja mimi huku tayara nishameza vumbi la mkongo dushe inasoma 4G siku iyo nilijibeba hawa mademu sio wa kuamini