bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 757
- 1,020
Jaman jana nilkuwa na apointment na she fulani. muda tarajiwa ulpofika nikawanashangaa mtu hajibu sms wala hapokei simu. unajua niliudhika ila mwisho wa siku nikamshukuru mungu kwa kuniepusha na majanga! pia hata uchumi wangu hauja yumba mpaka hela ya bando bando ninayo! sema angekuja ningempa mavi2zi mpaka bac!!!!!!