Huyu mchezaji anashangaa kuwa hata mke wake alikuwa haijui Trabzonspor ambapo Fabrizio kareport kuwa huyu mchezaji kaikataa hiyo ofa na anatimukia Schalke
Mfano dili la de jong kutua man u Romano mwezi mzima anatoa taarifa kinachoendelea lakini siku dili likiwa done David Ornstern anaweza kuwa wa kwanza kutoa taarifa ya done deal
Huyu mchezaji anashangaa kuwa hata mke wake alikuwa haijui Trabzonspor ambapo Fabrizio kareport kuwa huyu mchezaji kaikataa hiyo ofa na anatimukia SchalkeView attachment 2282143