Henry Shekifu, jirekebishe

Huyu mbunge ni zuzu na hua anaongea utumbo mtupu. Kwa mtizamo wangu wakati wa kupitisha vifungu Mnyika is the best.

Hata spika mara kadhaa huukubali mchango wa Mnyika, specifically wakati bunge likikaa kama kamati.
 

Nilidhani ni mimi mwenyewe kwamba huyu bwana akishasimama huwa natafuta channel nyingine hadi amalize. Hivi bado ni RC? He is always for the government and against opposition. Ameshindwa kabisa kuzungumzia wananchi. Yuko busy kubadili suti. Asubuhi nyingine mchana nyingine. Nawafurahia sana akina Ligora, Filikunjombe, Mbarouk, Mnyaa, Halima Mdee, Esta Bulaya, Susan Kiwanga, Mnyika and many others wanalifanya bunge linakuwa live. I also admire Zungu.
 
Last edited by a moderator:
tena nimeskia juzi spika akimwita DR.shekif....ina maana hichi kipindi cha kikwete kila mtu ataitwa DR.na Prof.

Mi pia nilishangaa. Huu udokta wake kasomea au ni ule ule wa kupewa? Au ulimi wa spika uliteleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…