Je unafahamu kuhusu mtoto kujaa hewa tumboni (kuwa colic)? Je unamuacha mtoto acheuwe kwanza kabla ya kumlaza baada ya kunywa maziwa? Unajua jinsi ya kufanya au kumuweka ili kusaidia mtoto acheue? Ya choo najua inaweza kutokea hivyo, ila ikizidi masiku zaidi basi nenda kwa daktari.